Walanyama (pia: Wagwizi; kwa Kilatini: Carnivora) ni mpangilio wa kisayansi ambao hujumuisha aina zaidi ya 280 za wanyama wa ngeli ya mamalia (wanaonyonyesha wadogo wao)[1].
Ukubwa wao unaanzia kwa vicheche wadogo kama (Mustela nivalis), mwenye gramu 25 na sentimeta 11, hadi dubu barafu (Ursus maritimus), ambaye anaweza kupima kilogramu 1,000, na Tembo-bahari wa kusini (Mirounga leonina), ambao wanaume wazima wanafikia kilogramu 5,000 (lb 11,000) na urefu wa mita 6.9 (futi 23).
Walanyama (pia: Wagwizi; kwa Kilatini: Carnivora) ni mpangilio wa kisayansi ambao hujumuisha aina zaidi ya 280 za wanyama wa ngeli ya mamalia (wanaonyonyesha wadogo wao).