dcsimg

Mfyulisi ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Mfyulisi ni mti mdogo wa jenasi Prunus (nusujenasi Amygdalus) katika familia Rosaceae. Matunda yake huitwa mafyulisi na haya yana ngozi yenye manyoya mafupi kama mahameli.

Asili ya mti huu ni Uchina, lakini sikuhizi unapandwa kila mahali katika kanda za nusutropiki.

Kuna aina mbili zenye matunda yaliyo na kifano kingine:

Mnektarini (var. nucipersica au var. nectarina) - ngozi ya matunda bila manyoya
Mfyulisi-donati (var. platycarpa) - matunda yenye umbo wa donati

Picha

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Mfyulisi: Brief Summary ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Mfyulisi ni mti mdogo wa jenasi Prunus (nusujenasi Amygdalus) katika familia Rosaceae. Matunda yake huitwa mafyulisi na haya yana ngozi yenye manyoya mafupi kama mahameli.

Asili ya mti huu ni Uchina, lakini sikuhizi unapandwa kila mahali katika kanda za nusutropiki.

Kuna aina mbili zenye matunda yaliyo na kifano kingine:

Mnektarini (var. nucipersica au var. nectarina) - ngozi ya matunda bila manyoya Mfyulisi-donati (var. platycarpa) - matunda yenye umbo wa donati
license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri