dcsimg

Mkungu (mti) ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Mkungu (Terminalia catappa) ni mti mkubwa unaopandwa sana katika kanda ya tropiki. Asili yake labda ni Asia ya Kusini lakini hii siyo ya hakika. Jozi za matunda yake (kungu) huliwa sana huko pwani.

Picha

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Mkungu (mti): Brief Summary ( Swahili )