dcsimg

Mkonge ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Mikonge ni mimea ya jenasi Sansevieria katika familia Asparagaceae. Majani yao huitwa makonge. Jina hili limesilikiwa kwa Agave sisalana (mkonge dume unaolimwa kwa uzalishaji wa katani) na spishi nyingine za jenasi Agave (mkonge-pori).

Spishi za Afrika ya Mashariki

Picha

Greentree.jpg Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkonge kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Mkonge: Brief Summary ( Swahili )