Pilipili ni tunda refu au la mviringo la mpilipili lenye rangi ya kijani, manjano, machungwa au nyekundu.
Pilipili huwa na tabia ya kuwasha walau kiasi.
Pilipili huwekwa kwenye supu, mboga mbalimbali, chipsi, sambusa n.k. ili kuongeza ladha au hamu ya chakula.