dcsimg

Metarhizium ( Suaíli )

fornecido por wikipedia emerging languages

Metarhizium ni jenasi ya kuvu entomopathojeni (kuvu zisababishazo magonjwa kwa wadudu) katika familia Clavicipitaceae. Tangu kuwadia kwa mihtasari ya jenetiki imewezekana kuweka kuvu hizi kwenye taksoni (aina) zao za kufaa. Nyingi sana zimetokea kuwa jinsi za kuvu za Ascomycota ambazo sina jinsia (anamorfi).

Spishi

Namna tisa za zamani zimepewa hadhi ya spishi pamoja na Metarhizium anisopliae inayojulikana sana[1]:

Spishi zilizofahamu tangu muda kama tofauti:

Teleomorfi za spishi za Metarhizium zinaonekana kuwa wana wa jenasi Metacordyceps[2]. Metacordyceps taii (kama Cordyceps taii) imefafanua kama teleomorfi ya Metarhizium taii[3], imefahamu badaye kuwa kisawe cha M. anisopliae var. anisopliae,[4] lakini ifafanua sasa kama kisawe cha M. guizhouense.

Hakuna uhakika kuhusu swali kwamba spishi na namna nyingine za Metarhizium zina teleomorfi zao zenyewe. Inawezekana kwamba namna nyingi zimepoteza uwezo wa kuzaliana kwa kijinsia.

Marejea

  1. Bischoff J.F., Rehner S.A. Humber R.A. (2009). "A multilocus phylogeny of the Metarhizium anisopliae lineage". Mycologia 101 (4): 512–530. . .
  2. Sung, G.-H., Hywel-Jones, N.L., Sung, J.-M., Luangsa-ard, J.J., Shrestha, B. and Spatafora1, J.W. (2007). "Phylogenetic classification of Cordyceps and the clavicipitaceous fungi". Studies in Mycology 57: 5–59. . . .
  3. Liang, Z.-Q., Liu, A.-Y., Liu, J.-L. (1991). "A new species of the genus Cordyceps and its Metarhizium anamorph". Acta Mycologica Sinica 10: 257–262.
  4. Huang B., Li C., Humber R.A., Hodge K.T., Fan M. and Li Z. (2005). "Molecular evidence for the taxonomic status of Metarhizium taii and its teleomorph, Cordyceps taii (Hypocreales, Clavicipitaceae)". Mycotaxon 94: 137–147.

Viungo vya nje

licença
cc-by-sa-3.0
direitos autorais
Waandishi wa Wikipedia na wahariri
original
visite a fonte
site do parceiro
wikipedia emerging languages

Metarhizium: Brief Summary ( Suaíli )

fornecido por wikipedia emerging languages

Metarhizium ni jenasi ya kuvu entomopathojeni (kuvu zisababishazo magonjwa kwa wadudu) katika familia Clavicipitaceae. Tangu kuwadia kwa mihtasari ya jenetiki imewezekana kuweka kuvu hizi kwenye taksoni (aina) zao za kufaa. Nyingi sana zimetokea kuwa jinsi za kuvu za Ascomycota ambazo sina jinsia (anamorfi).

licença
cc-by-sa-3.0
direitos autorais
Waandishi wa Wikipedia na wahariri
original
visite a fonte
site do parceiro
wikipedia emerging languages