dcsimg

Mdudu Siku-moja ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Wadudu siku-moja ni wadudu wa oda Ephemeroptera (ephemeros = -a muda mfupi, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Wadudu hawa huishi majini baridi katika muundo wa nayadi (lava ya wadudu wa maji) kwa muda wa mwaka mmoja, halafu hutoka kwenye maji na kuambua mara mbili na kuwa mdudu aliyekomaa wenye mabawa. Licha ya jina lao wadudu waliokomaa huishi muda wa nusu saa hadi siku kadhaa. Wanajamiiana tu na kutaga mayai; hawali na kwa hiyo wana alama za vipande vya mdomo tu na utumbo umejaa na hewa. Kinyume na wadudu waliokomaa nayadi hula viani na diatomea, na spishi kadhaa hula lava za wadudu wengine wa maji.

Picha

Blue morpho butterfly.jpg Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdudu Siku-moja kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Crystal Project Babelfish.png Makala hiyo kuhusu "Mdudu Siku-moja" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa.

Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Mdudu Siku-moja: Brief Summary ( Swahili )